Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu leo Januari 24, 2024 amewasili Mkoani Mwanza na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mhe. Amoss Makalla kwa ajili ya ziara ya kukagua shughuli na mikakati ya Udhibiti wa Ugonjwa wa Kipindupindu.
Ziara hio inafanyika kufuatia mlipuko wa Ugonjwa huo ulioanza kuenea kwa kasi nchini kwa siku za hivi karibuni.
#KonceptTvUpdates