Mamlaka ya Hali ya Tanzania (TMA) imetangaza kuwa Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika mikoa ya Lindi, mtwara, Morogoro, Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe.
Ikiwa ni siku chache mvua kubwa imenyesha na kuathiri baadhi ya Maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na Morogoro leo tena TMA imetoa taarifa hiyo kutahadhari wakazi wake kuwa makini.