Msanii kutokea Nigeria, Burna Boy ‘The African Giant’ ameweka historia kwa kuwa nyota wa kwanza kutumia nyimbo zenye maadhi ya Afrika (Afrobeats) kutumbuiza kwenye usiku wa Tuzo za Grammy 2024.
Burna Boy aliwasisimua watazamaji katika hafla hiyo ya 66 ya Tuzo hizo iliyofanyika huko Los Angeles, Marekani
Wasanii wengine, Brandy na 21 Savage waliungana nae na kuifanya siku hio kuwa ya tofauti.
#KonceptTvUpdates