Samuel Eto’o aliwasilisha kujiuzulu kwake kama rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon siku ya Jumatatu kufuatia tuhuma zinazomkabili.
Kamati yake kuu imeukataa uamuzi huo kwa kutaka asalie katika nafasi hio ya Urais.
Eto’o, ambaye alishinda rekodi ya mchezaji bora wa Afrika mara nne, amegubikwa na tuhuma za tabia mbaya, upangaji matokeo na rushwa.
#KonceptTvUpdates