• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
BONGOSWAGGZ
  • Home
    • Home – Layout 1
    • Home – Layout 2
    • Home – Layout 3
    • Home – Layout 4
    • Home – Layout 5
    • Home – Layout 6
  • News
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    FRANK SHANGALI ATEULIWA KUWA MENEJA IGT

    FRANK SHANGALI ATEULIWA KUWA MENEJA IGT

    TRC yatangaza Ratiba ya Safari za Treni ya SGR Dar- Dodoma Kuanza Rasmi Julai 25

    CCM YAENDELEA KUSIMIKA MATAWI YAKE DAR

    CCM YAENDELEA KUSIMIKA MATAWI YAKE DAR

    DKT. MFAUME ATOA MAELEKEZO MAZITO KWA MAAFISA LISHE

    MABULA: NCAA ENDELEENI KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII NA KUYATANGAZA.

    MIILI YA WATAWA WATATU WALIOFARIKI KWA AJALI YAZIKWA NDANDA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Tech
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Entertainment
    • All
    • Gaming
    • Movie
    • Music
    • Sports
    SIMBA NA YANGA KUCHUANA NGAO YA JAMII AGOSTI 8

    LIVERPOOL YAJIONDOA KUMUWANIA LENY YORO

    LIVERPOOL YAJIONDOA KUMUWANIA LENY YORO

    AWESU ALI AWESU NI MNYAMA

    AWESU ALI AWESU NI MNYAMA

    “SAFARI HII, UBAYA UBWELA” – AHMED ALLY

    “SAFARI HII, UBAYA UBWELA” – AHMED ALLY

    LIGI KUU YA NBC MSIMU MPYA KUANZA RASMI AGOSTI 16, 2024

    THOMAS MULLER ASTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA

  • Lifestyle
    • All
    • Fashion
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • Review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

No Result
View All Result

BONGO SWAGGZ
No Result
View All Result
Home RAIS SAMIA

SERIKALI; KUTIBU WAGONJWA WA SUKARI KWA MWAKA NI BIL 300

Dodoma

admin by admin
February 6, 2024
in Uncategorized
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Dkt Mollel:Asilimia 70 ya mapato ya vituo vya afya inategemea NHIF – Mwanzo TVSerikali imesema kuwa gharama ya kutibu wagonjwa wa Sukari kwa mwaka ni shilingi bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni shilingi bilioni 46.42 hivyo kupelekea jumla ya gharama za matibabu kwa magonjwa haya mawili kufikia shilingi bilioni 346.42.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali namba 98 kwa niaba ya Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ambapo swali hilo limeulizwa na Mbunge wa Igalula, Mhe. Venant Daud aliyeuliza Je, Serikali haioni haja ya kutoa msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wa sukari na tezi dume nchini.

Dkt. Mollel ameeleza kuwa gharama za matibabu ya magonjwa hayo mawili ni kubwa sana wakati bajeti ya dawa lna vifaa tiba kwa mwaka ni shilingi bilioni 200.

“Ikitokea huduma ya matibabu kwa magonjwa haya mawili kutolewa bure kutasababisha huduma nyingine katika nchi kusimama”. Amesema Dkt. Mollel.

Aidha, amesema Serikali inasisitiza utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka 2007, ya kutoa huduma ya Msamaha kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za afya hata hivyo, wenye uwezo wa kulipia wataendelea kuchangia.

Dkt. Mollel ameongeza kuwa mwaka 2022/2023 gharama ya msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wa sukari na saratani ya tezi dume ilikuwa kiasi cha shilingi bilioni 70.4

Vile vile Dkt. Mollel amesisitiza viongozi wa Mamlaka za mikoa na Serikali za mitaa kusimamia sekta ya afya kikamilifu ili kuleta ubora wa huduma ili kutekelza azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kila Mtanzania kupata huduma bora za afya.

#KonceptTvUpdates

Tags: Bunge la TanzaniaDODOMAWizara ya Afya
Previous Post

Relationship Manager – Commercial Banking Job Vacancy at Exim Bank Tanzania

Next Post

MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 7, 2024

admin

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected test

  • 23.9k Followers
  • 99 Subscribers

Krantz Mwantepele (FOUNDER & CEO

ADVERTISEMENT
Plugin Install : Widget Tab Post needs JNews - View Counter to be installed
  • Trending
  • Comments
  • Latest
NMB yadhamini kombe la Mapinduzi 2025, yafadhili Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar

January 3, 2025
Rais Mwinyi aipongeza NMB kudhamini, kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar

Daktari Dar ajishindia Mil. 100/- za Fainali NMB Bonge la Mpango

Mil. 76/- kati ya Mil. 300/- za NMB MastaBata zaenda kwa wateja 712

December 30, 2024

Recent News

© 2025 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.