Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Februari 6, 2023 amefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna. Pamoja na mambo Mengine Mheshimiwa Majaliwa amepongeza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Benki hiyo kwa hesabu za Mwaka 2023.
Kwa upande wake Bi. Zaipuna ameshukuru na kupongeza ushirikiano wanaoupata kutoka kwa Serikali pamoja na mazingira bora ya utendaji ya biashara ambayo yamechangia ukuaji wa benki hiyo.
#KonceptTvUpdates