Waziri wa Zamani wa Nishati na Madini, Dk Ibrahim Msabaha amefariki dunia leo akiwa njiani kutoka nyumbani kwake, Masaki kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam.
Marehemu Dkt. Ibrahim Msabaha, alijiuzulu mwaka 2008 pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutokana na kashfa ya Richmond, amefariki dunia leo 13 Februari 2024.
#KonceptTvUpdates