#MICHEZO: Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limetangaza kutarajia kuendesha kozi itakayoandaa makocha wa Magolikipa hapa nchini katika kituo cha ufundi TFF kilichopo Mnyanjani, Tanga.
“Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Litaendesha Kozi ya Ukocha ya Magolikipa itakayofanyika kuanzia Machi 5, 2024 kwenye kituo cha ufundi cha TFF kilichopo Mnyanjani, Tanga, Sifa za Mwombaji ; Awekipa anayedaka au mstaafu” taarifa kutoka TFF yaeleza.
#KonceptTvUpdates