Kylian Mbappé anatazamiwa kuwa huenda akajiunga na Real Madrid akitokea Paris Saint-Germain mara tu mkataba wake wa sasa utakapomalizika msimu huu wa joto, kufuatia sakata ya uhamisho wa muda mrefu ambayo iliwavutia mashabiki wa soka duniani kote.
Hatua hii inaashiria mabadiliko makubwa kwa Mbappé, na kukataa nyongeza ya mishahara iliyopendekezwa kutoka kwa PSG ili ajiunge na mabingwa mara 14 wa EUROPA, Real Madrid.
Makubaliano kati ya Mbappé na Real Madrid yaTawakilisha kilele cha harakati zake zilizoanza mapema mwaka wake wa 2017, kuashiria enzi mpya kwa mchezaji na kilabu .
#KonceptTvUpdates