“Natoa rai kwa wakazi wa Mkoa wa Dares Salaam hususan wa kata za Tandale, Kijitonyama, Mwananyamala, Kigogo, Mzimuni, Magomeni, Ndugumbi, Hananasif, Kinondoni na Makumbusho ambapo bado kuna maambukizi ya ugonjwa huu kujitokeza kwa wingi ili kushiriki kwenye kampeni za kingatiba ya ugonjwa wa Matende na Mabusha zitakazoendelea kufanyika katika maeneo yao ili kuweza kutokomeza maambukizi mapya ya ugonjwa huu.” Amesema @ummymwalimu Waziri wa Afya
#KonceptTvUpdates