#MICHEZO: Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea Ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wao Prince Dube, raia wa Zimbabwe.
Ofa hizo zimetoka kwa Simba SC ya hapa nchini na Al Hilal SC ya Sudan.
Uongozi huo unaendelea kufanyia tathmini ya ofa hizo na pia umevikaribisha vilabu vingine kutuma ofa zao kwa kusema bado nafasi ipo wazi.
Kwa maoni yako unapendekeza Dube atue wapi kati ya Vilabu hivyo viwili?
#NBCPL
#OfazaUsajili
#KonceptTvUpdates