#MICHEZO; Kikosi cha Klabu ya Al Ahly (Mapharao) kutokea Misri kimewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius K. Nyerere kwaajili ya Mchezo wao wa Hatua ya Robo Fainali Michuano ya Klabu Bingwa Afrika #CAFCL dhidi ya Mnyama Simba SC.
Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Ijumaa ya Machi 29, Mwaka huu saa 3 Usiku katika Dimba la Benjamin Mkapa (Lupaso).
#KonceptTvUpdates