Mtangazaji Kutoka Kipindi Cha Lavidavi Cha Wasafifm, Diva thee bawse anasema kwamba ameona sio mbaya akijizawadia Gari aina ya ‘Mazda CX5’
Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram (Insta-Story) Diva Thee Bawse Ameandika
“Mwaka Huu Nimepata Deals Nyingi Na Kufanya Kazi Na Makampuni Mengi Toka Nifike #WasafiMedia, Nikaona Si Mbaya Nijizawadie Mazda CX5 Lenye Thamani Ya Zaidi Ya Tsh Milioni 50+, Mungu Amekuwa Mzuri Sana Kwangu” – Diva Thee Bawse (Swipe)