Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inautangazia Umma kuwa Takwimu za Sekta Mawasiliano kwa kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2024 ipo tayari. Unaweza kubofya kiunganishi bit.ly/3YbDVU4 au skani QR code kupakuwa ripoti kamili. #tcratz #statistics #tanzania #stakeholders #investors
Source :TCRA