#KUMBUKIZI; Tarehe kama ya leo mwaka 1977 Simba SC iliibuka na ushindi wa magoli 6-0 dhidi ya mtani Yanga SC. Magoli yalifungwa na Abdallah Kibadeni (3), Jumanne Hassan ‘Masimenti’ (2) na Selemani Sanga (kujifunga).
Source; Simba SC
#KonceptTvUpdates