JESHI la Polisi kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani limetoa taarifa kuujuza umma kuhusu ada zinazotozwa kwaajili ya ukakuzi wa vyombo vya moto mbalimbali hapa nchini.
Pikipiki ni Tsh 2,000, Bajaji Tsh. 2,000, Magari madogo Tsh. 5,000 na Magari Makubwa ni Tsh. 7,000/=
Cc; Police Force (Mtandao ‘X’)
@polisi.tanzania
Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates