Watoto wawili waliodaiwa kutekwa Arusha wamepatikana Kwa Baba yao huko Migori nchini Kenya, Mama mzazi wa Watoto hao Elizabeth Modest Mkazi wa Ngaramtoni Kibaoni asimulia.
Taarifa hiyo imethibitishwa na Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii huku ikiwahasa raia kuacha kusambaza taarifa ambazo hawana uhakika nazo ili kuepusha sintofahamu katika Jamii inayowazunguka.
Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates
View this post on Instagram