Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Balozi Togolani Mavura amesema kwamba katika Taifa la Korea Kusini NHIF inahudumia watu wote.
“Wenzetu wa Korea Kusini wamefikia hatua ambayo mpaka kati ya hospitali ya Serikali na binafsi haupo na bima ya afya ya kwao “NHIF” ya Korea Kusini inahudumia watu wote na katika watu inayowahudumia 78% wanakwenda kwenye vituo binafsi ni 28% tu ndio wanakwenda kwenye vituo vya Serikali,”-Balozi Togolani Mavura
Ingekuvutiaje mfumo huo ukitumika na Tanzania?
#KonceptTvUpdates