Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi! Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Ziwa Victoria Ngoya (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi ya TZS 500,000/- mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Ni Balaa!, Neema Melkizedeki Mmari (katikati) katika kilele cha maadhimisho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mwanza mnamo 8 Agosti, 2024.
Endelea kufanya miamala ya kupitia M-Pesa nawe uwe mshindi! Ni Balaa…
Hii ‘Ni Balaa! Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Mwanza Gift Tesha akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/- mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Ni Balaa!, Sarah Zakayo (katikati) kwenye kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mwanza mnamo 8 Agosti, 2024.
Ni Zamu Yako! Fanya miamala kupitia M-Pesa uwe Mshindi