Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano hundi ya Shilingi milioni 30 kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa ajili ya kuunga mkono shughuli za kilimo biashara kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.
#KonceptTvUpdates