#MICHEZO Timu ya Wanawake Simba Queens imefuzu kutinga hatua ya nusu fainali Michuano ya CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers baada ya kuichapa mabao 3-0 klabu ya Kawempe Muslim Women ya nchini Uganda
Mabao hayo matatu ya Simba Queens yamepachikwa nyavuni na; Vivian Corazone (Goli la kwanza) , Jentrix Shikangwa (Goli la Pili) na Elizabeth Wambui (Goli la tatu).