Liquid Intelligent Technologies yajizatiti Kuhakikisha Tanzania inakuwa Kitovu cha Teknolojia kwa Afrika Mashariki
Liquid Intelligent Technologies (Liquid), sehemu ya Cassava Technologies, kampuni ya teknolojia iliyopo Afrika nzima inayofanya shughuli zake nchini Tanzania, imejizatiti...