ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, July 3, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Tigo yatoa msaada wa madawati 400 kwa shule za msingi mkoani Morogoro

admin by admin
February 15, 2016
in Uncategorized
Reading Time: 6 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles akiongea na wananchi na wanafunzi waliohudhuria hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 400 katika shula za wilaya ya Morogoro vijijini.

Mwanafunzi wa darasa la sita kutoka shule ya msingi kibangile Radia Hamis akishukuru kwa msaada wa madawati  kwa niaba ya wanafunzi wa shule hiyo kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya pwani Goodluck Charles katika hafla ya kukabidhi madawati 400 kwa shula 10 za wilaya ya Morogoro vijijini.

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini Prosper Mbena akimshukuru Mkurugenzi wa tigo kanda ya pwani  Goodluck Charles baada ya hafla ya kukabidhi  msaada wa madawati 400 yaliyotolewa na kampuni ya Tigo Tanzania kwa  shule 10 za jimbo la morogoro kusini.

Mkurugenzi wa tigo kanda ya pwani Goodluck Charles akimkabidhi Afisa wa Elimu wilaya ya Morogoro vijijini Donald Pambe msaada wa madawati 400 katika shule 10 za wilaya hiyo hafla iliyofanyika katika shule ya msingi  Kibangile

Mkurugenzi wa Tigo, kanda ya Pwani Goodluck Charles(wa nyuma kushoto) na Afisa  Uhusiano wa Tigo Halima Okash (mbele kushoto) wakikabidhi madawati 400 yaliyotolea na kampuni ya tigo Tanzania kwa shule kumi za wilaya ya Morogoro vijijini kwa mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mh Prosper Mbena (nyuma kulia) na Afisa Elimu wilaya hiyo Donald Pambe katika shule ya msingi Kibangile iliyopo kata ya Matombo.

Februari 11 2016 Morogoro: Kampuni ya Tigo Tanzania imetoa msaada wa madawati 400 yenye thamani ya shilingi milioni 60 kwenye shule 10 za msingi katika mkoa wa Morogoro ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika kuisaidia serikali kukabiliana na upungufu wa madawati katika shule za msingi nchini.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Shule ya Msingi Kibangile iliyopo Kitemu katika kata ya Matambo, Morogoro Kusini, Mkurugenzi wa Tigo wa Kanda ya Pwani Goodluck Charles mchango huo ni sehemu ya utekelzaji dhamira ya kampuni hiyo ya kuunga mkono shughuli mbalimbali za maendeleo nchini.
“Mchango huu ni sehemu ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Tigo katika kusaidia utekelezaji wa miradi yenye tija kubwa kwa jamii. Tunaamini kwamba kupitia msaada huu, Tigo inatoa mchango wake katika kujenga viongozi wa baadaye wa taifa hili na wanataluuma mbalimbali wakiwamo madaktari, wahandisi na wengineo, “alisema Charles.
Charles alisema mwaka jana Tigo ilikabidhi msaada kama huo wa madawati katika shule za msingi katika mikoa ya Shinyanga, Mbeya na Iringa na kuongeza kwamba kampuni hiyo itaendelea kutoa madawati zaidi sehemu mbalimbali nchini siku za zijazo.
Makabidhiano yalihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr Rajabu Rutengwe ambaye alisema madawati hayo 400 yataboresha mazingira ya kujifunzia kwa watoto katika Mkoa wa Mporogoro na kutoa wito kwa wadahu wengine kuunga mkono zoezi hilo.

“Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa kampuni ya Tigo kwa kuwa mdau muhimu kwetu katika jitihada zinazoendelea za kujaribu kupunguza tatizo la ukosefu wa madawati ya kutosha katika shule za msingi za mkoa wetu wa Morogoro. Ni Dhahiri kwamba msaada huu wa madawati 400 yatawawezesha mamia ya wanafunzi wetu kupata sehemu za kukaa na hivyo kujipatia elimu zao katika mazingira bora Zaidi,” alisema Dr Rutengwe. 

ADVERTISEMENT
Previous Post

Tigo yatoa msaada wa madawati 400 kwa shule za msingi mkoani Morogoro

Next Post

Tigo yafungua duka Jipya mjini Tunduma

admin

admin

RelatedPosts

CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania
Uncategorized

CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania

by admin
June 30, 2022
0

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwa pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright...

Read more
WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

June 30, 2022
NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

June 30, 2022
Viongozi wa Zamani Obama na Merkel Kuonana Huko Washington

Viongozi wa Zamani Obama na Merkel Kuonana Huko Washington

June 30, 2022
Wasanii 3 wa Lebo ya WCB Wasafi Watinga Bungeni Dodoma

Wasanii 3 wa Lebo ya WCB Wasafi Watinga Bungeni Dodoma

June 29, 2022
Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

June 29, 2022
Load More
Next Post

Tigo yafungua duka Jipya mjini Tunduma

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

July 1, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

Mwanadada Atapeliwa “Iphone Kisa Nafasi ya Kazi”

June 28, 2022
Abdul Sopu Apiga Hat-trick Michuano ASFC

Abdul Sopu Apiga Hat-trick Michuano ASFC

July 3, 2022
RAMADHANI NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI YENYE MAGOLI 6″

RAMADHANI NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI YENYE MAGOLI 6″

July 3, 2022
ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

July 3, 2022
YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

July 3, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In