Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kushiriki kwenye maandamano ya amani yaliyoitishwa na viongozi wa chama hicho kufanyika Januari 24 Mwaka huu.
Maandamano hayo yameenda sambamba na siku ambayo zoezi la kufanya usafi lililotangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila.
#KonceptTvUpdates