Young Africans SC yajivunia kwa kuweka raekodi ya kuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV)
Yanga imethibitisha hayo kwa kurasa rasmi za klabu kwa kupakia maelezo na picha kufafanua mafanikio waliyoyaopata kama klabu kutokana na maudhui yaliyopakiwa.