Baada ya Droo ya Robo Finali kukamilika, Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally adokeza juu ya Mwenendo wa Klabu ya Al Ahly ya nchini Misri na kuipa imani Simba imalize mchezo ikiwa nyumbani.
“Mara ya mwisho Al Ahly kuishia Robo Fainali ni 2018/2019 ambapo mechi ya mzunguko wa kwanza Ahly alifungwa 5-0 na Mamelod
Mechi ya marudiano Ahly akashinda 1-0
Hoja yangu hapa ni kuwa mechi yetu na Al Ahly tunapaswa kumaliza kazi hapa nyumbani yaaani #Inashiahapa” Ameandika Ahmed Ally -Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC (Via Mtandao X).
#KonceptTvUpdates