Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.
Hii imekuwa ni utaratibu wa kawaida kwa Viongozi wa Mataifa haya mawili kukutana kila baada ya kipindi fulani na kuweza jadili mambo mbalimbali yanayohusiana na siasa, jamii, utawala, uchumi na uwekezaji kwani hata enzi za uhai wa Hayati John Magufuli ndio alikuwa rafiki wa karibu sana na Rais Mstaafu Kenyatta.
#KonceptTvUpdates